Monday, May 02, 2005

Wanawake na maendeleo

Karibuni tena katika tovuti yangu, ni tanga hukooo ndiko nilikotokea ni Binti wa kitanga kama wengi walivyozoea kuniita kujipamba ndio asili yao lakini hii isikutishe mwanamke urembo babu ee!

unakaribishwa kutoa maoni na ushauri katika lugha yoyote ile hata kama ni kisambaa hakuna taabu.

karibuni sana wote ambao mlitamani sana kuona mwanake akiwa rais na mumewe kuitwa First Gentleman!

5 Comments:

Blogger Zainab Yusuph said...

Hallo hallo!! binti wa kitanga karibu sana katika ulimwengu wa kublog natumai watu wa Tanga pamoja na kwingineko watafurahia kusoma blog yako. Nakutakia kila laheri.
KARIBU.

1:27 AM  
Blogger Ndesanjo Macha said...

Karibu sana mwana Tanga. Tunakukaribisha kwa hadhi na taadhima katika ulimwengu wa blogu.

2:05 PM  
Blogger mwandani said...

Karibu, mwakwetu
karibu sana

4:17 AM  
Blogger Kessy Inno. said...

Heko, nakupongeza sana,kwa hali hii nafikiri wanawake wataamka zaidi.
Tanga kunani lakini,nataraji vitu vingi kutoka huko Tanga.
Karibu katika ulimwengu wa globu.
Wasalimie wagosi.

8:52 AM  
Blogger mwalyoyo said...

This comment has been removed by the author.

7:34 AM  

Post a Comment

<< Home