Wednesday, May 18, 2005

SABABU TUNAZO, NIYA TUNAYO NA UWEZO TUNAO!

NIMEPATA maoni mengi kutoka kwa wanabloger wengi hapa dunaiani, wamekuwa wakiniuliza sana eti kwa nini mablogist wa hapa kwetu Tanzania wamekuwa wakiblog sana kuhusiana na siasa tu na si mambo mengine kama urembo?

Sababu ya kwanza ni kwamba kwa taarifa tu tarehe 30 oktoba mwaka huu amabyo itakuwa ni Jumapili watanzania wote watakuwa Bize wakichagua Rais wao, Wabunge na Madiwani wa kata mbalimbali.

kwa maana kuwa tuna uchaguzi mkuu wa wabunge na m,adiwni wakati rais wa awamu ya nnne atapatikana siku hiyo hiyo.

sababu hii nafikiri ndiyo inayowafanya wanablog kujadili sana masuala ya siasa yanavyokwenda katika nchi ya Tanzania katiak siasa ya vyama vingi ambavyo hakina upinzani.

NIYA ya kublog siasa ni kuwapatia habari watanzania wengine waliko nje ya nchi ya tanzania waende na wakati, na kufahamu kila kitu kinaendaje katika nchi yao hususan katika maandalizi ya kumchagua rais.

uwezo wa kuwafikishia ujumbe watanzania hao tunao ni lazima tufanye hivyo wanablog wa kitanzania ikli kuondokana na lawama ambazo hapo baadaye zitatuhukumu kwa kutowapatia haki yao watanzania hao bila kujua kama ni dhambi kubwa yenye madhara kwa watanzania hao.

sasa tufanye kwa nia, sababu na uwezo pia kwa kuwa wao wameweza wana nini mpaka sisi tushindwe tuna nini? akina mama wakati umefika sasa kuonyesha kuwa bila sisi hakiendi kitu.

9 Comments:

Blogger Ndesanjo Macha said...

Mjadala huu mzuri sana. Nadhani utafiti wa mwelekeo wa blogu za ndugu zetu Kenya na wanablogu wa Tanzania unaweza kuelezewa kwa sababu nyingi. Ila mojawapo ambayo nitaijadili kwa wakati wake ni aina ya itikadi ambazo nchi hizi mbili zilichukua baada ya uhuru. Itikadi moja ikihimiza jumuiya na nyingine ikihimiza mtu binafsi. Hapo ndio unaona blogu za watanzania zinazungumzia zaidi masuala ya kijumuiya zaidi ya masuala ya mtu binafsi kama amevaa nini, amenunua nini, anajisikiaje, anafanya nini, n.k. Hapo unaona kuna mwelekeo wa "sisi" na mwingine wa "mimi." Mjadala najua ni mrefu.

4:21 PM  
Blogger Martha Mtangoo said...

yah ni kweli kama alivyosema kakangu hapa Ndesanjo, kuwa kila nchi inajadili hapa mjadala kama ilivyodhamiria nchi husika tanzania wao hakuna cha mimi ila kuna sisi lakini kenya nao kama alivyiosema kuwa wao ni kila kitu mimi, s alaam

2:11 AM  
Blogger Ndesanjo Macha said...

Umepotelea wapi?

1:34 PM  
Blogger philprehiem76822668 said...

i thought your blog was cool and i think you may like this cool Website. now just Click Here

7:07 AM  
Blogger HappySam said...

kenya kenya oh ah kenya
___________________________
http://hotcelebfemales.blogspot.com/

5:25 PM  
Blogger lucygreene97028685 said...

Do you want free porn? Contact my AIM SN 'abunnyinpink' just say 'give me some pics now!'.

No age verification required, totally free! Just send an instant message to AIM screen name "abunnyinpink".

Any message you send is fine!

AIM abuse can be reported here.

5:01 AM  
Blogger cynthia11victor said...

Are you stuck in a job that is leading you on the path to no where?
We can help you obtain a College Degree with classes, books, and exams
Get a Genuine College Degree in 2 Weeks!
Well now you can get them!

Call this number now 24 hours a day 7 days a week (413) 208-3069

Get these Degrees NOW!!!

BA, BSc, MA, MSc, MBA, PHD,

Within 2 weeks!
No Study Required!
100% Verifiable

Call this number now 24 hours a day 7 days a week (413) 208-3069

These are real, genuine, They are verifiable and student records and
transcripts are also available. This little known secret has been
kept quiet for years. The opportunity exists due to a legal loophole
allowing some established colleges to award degrees at their discretion.

With all of the attention that this news has been generating, I wouldn't
be surprised to see this loophole closed very soon.

Get yours now, you will thank me later!
Call this number now (413) 208-3069
We accept calls 24 hours a day 7 days a week.

1:57 AM  
Blogger michelgonzo01261142 said...

Get any Desired College Degree, In less then 2 weeks.

Call this number now 24 hours a day 7 days a week (413) 208-3069

Get these Degrees NOW!!!

"BA", "BSc", "MA", "MSc", "MBA", "PHD",

Get everything within 2 weeks.
100% verifiable, this is a real deal

Act now you owe it to your future.

(413) 208-3069 call now 24 hours a day, 7 days a week.

3:57 PM  
Blogger barb michelen said...

Hello I just entered before I have to leave to the airport, it's been very nice to meet you, if you want here is the site I told you about where I type some stuff and make good money (I work from home): here it is

5:43 PM  

Post a Comment

<< Home